Wenda nifundi selemara hupo mtaani kutokana nakukosekana kwa kazi
Je wajua kwamba saivi watu wengi wamekimbiria kufuga na kulima
Basi kama unajua jaribu kufanya kama ni fursa kwako kwakutengeneza mavibanda ya kisasa kwamfano huo huonawo apo nakubuni mitindo mingi.
#Asante_kwakupitia_blog_yetu_fursafr
Unaweza tu pata Facebook na mitandao mingine yakijami kwa jina hilohilo la fursafr
Comments
Post a Comment